M Mama Sinono Member Joined Jun 4, 2013 Posts 7 Reaction score 2 Nov 17, 2020 #1 Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa. Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali. Nipo na hali mbaya sana wakuu.
Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa. Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali. Nipo na hali mbaya sana wakuu.
Ndondocha mkuu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2,490 Reaction score 2,965 Nov 18, 2020 #2 betina11 said: Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa. Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali. Nipo na hali mbaya sana wakuu. Click to expand... Mkoa gani upo boss, nitext 0754350882.
betina11 said: Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa. Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali. Nipo na hali mbaya sana wakuu. Click to expand... Mkoa gani upo boss, nitext 0754350882.
M Mama Sinono Member Joined Jun 4, 2013 Posts 7 Reaction score 2 Nov 18, 2020 Thread starter #3 Ndondocha mkuu said: Mkoa gani upo boss,nitext 0754350882 Click to expand... Asante nitakutafuta nipo Dar ila mkoa wowote nitakwenda.
Ndondocha mkuu said: Mkoa gani upo boss,nitext 0754350882 Click to expand... Asante nitakutafuta nipo Dar ila mkoa wowote nitakwenda.
Kamanda wa Kweli JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 1,448 Reaction score 845 Nov 19, 2020 #4 Oh pole mkuu, Mungu akujalie. By the way, wewe ni jinsia gani?
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,997 Reaction score 15,112 Nov 19, 2020 #5 betina11 said: Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa. Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali. Nipo na hali mbaya sana wakuu. Click to expand... Nakushauri... uongeze hatua chache kwa Muumba I.e inuka usiku wa manane Swali/pray/Sali na uombe Dua'a sana la hitaji lako .... Wish you success
betina11 said: Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa. Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali. Nipo na hali mbaya sana wakuu. Click to expand... Nakushauri... uongeze hatua chache kwa Muumba I.e inuka usiku wa manane Swali/pray/Sali na uombe Dua'a sana la hitaji lako .... Wish you success