J0h13
Member
- Nov 30, 2020
- 7
- 3
Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na serikali yetu
Kwa majina naitwa JOHN E BENDERA
Ni kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa.
Ni mchezaji wa mpira pia, ligi daraja la pili Tanzania.
Ndoto zangu kubwa niliziwekeza katika mpira, lakini naamini mnajua mpira wetu apa nchini, si lazima kuuelezea sana, nimeamua kutafuta sehemu nyingine tofauti na mpira, maana umri unaenda na pia ninategemewa.
Naja kwenu ndugu zangu wa JF, Nikiomba msaada wa ajira au sehemu yoyote ya kujishkiza japo kwa mda tu, nina uzoefu mwingi sana tu, kutokana na sehemu mbalimbali nilikopitia, na pia licha ya hivo niko tayari kufanya kazi yoyote licha ya ugeni wake au mazingira yake pia.
ELIMU
Mengineyo:
Natanguliza shukrani zangu
0659904895
www.subrabenz@gmail.com
Ndio mawasiliano yangu

- Ninamesoma mpaka kidato cha nne
- Nina uwezo wa kuongea lugha ya kifaransa na lugha ya alama (Sign language)
- Pia nimesomea maswala ya IT, computer operator
- Ninajua kutumia vyema baadhi ya programs za computer, hasa za office.
- Sina Elimu ya Juu bali nina elimu ya kawaida ya Sekondari lakini nina uelewa wa vitu kadha wa kadha ambavyo vinahitaji zaidi kutumia akili ama nguvu kuliko vyeti.
- Nipo Tayari kufanya kazi sehemu yoyote Nchi hii. Na nipo tayari kuonana na Mwajiri apajue ninapoishi na aijue familia yangu endapo itabidi kufanya hivyo,nipo SINGIDA kwa sasa, Nina uhitaji wa Kazi kwa hali na Mali.
Mengineyo:
- Uwezo wa kubuni Projects mbalimbali (Tatizo sina Mtaji).
- Uwezo wa kuendana na Mazingira and loyal to hospitality issues.
Natanguliza shukrani zangu
0659904895
www.subrabenz@gmail.com
Ndio mawasiliano yangu