Natafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi, na sekta zingine

crystas_13

New Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
2
Reaction score
4
Habari wana JF

Mimi Ni kijana mwenye umri wa miaka 29, Nina elimu ya BSc CIVIL ENGINEERING, ninatafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi au sekta yoyote ile ipatikanayo, nimekua nikifanya kazi Kama saidia fundi(kibarua) katika kampuni mbalimbali huku nikisubiri kupangiwa kufanya SEAP, sichagui kazi nipo Dar es Salaam, Mabibo, nitashukuru kwa yoyote atayenisaidia.

Wako katika ujenzi wa taifa
Crystas. Mawasipiano yangu ni 0737541263
 
umejisajili ERB? jisajili km graduate engineer nafasi zilitokea watakuita kingine connection za kaz za ujenz zinatafutwa site. visit site kubwa kubwa zinazoendelea onana na project engineer, site agent au engineer muambie unatafuta mishe yoyote ili usikae idle akikuvutia hand break muambie niko tiyar hata kuvolunter with time utaaza kutengeneza connection kupitia hapo hapo site. usikate tamaa
 
Back
Top Bottom