Natafuta kazi yoyote, nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management

Natafuta kazi yoyote, nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management

Rizimelo

Member
Joined
Jan 9, 2021
Posts
23
Reaction score
10
Ninaitwa Louis M Fussi Nina umri was miaka 24, Nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management kutoka chuo kikuu SUA. Ninaomba nafasi ya kazi, kujitolea ili niweze kuepukana na vishawishi vya mtaani.

Kuachana na degree pia nina leseni ya udereva.
Namba za simu 0712730570
 
Kwa ushauri kama una kahela flani soma kozi sa OSHA za NOSCH 1 and 2 , ukitoka hapo ajira nyingi za healthy and safety bafo watu hawajasanuka
 
Unaweza kupiga jembe mkuu?
Au unataka kazi za ofisini tu?
 
Back
Top Bottom