Natafuta kazi yoyote. Nimesomea mifugo na kilimo

Grini

New Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Heri ya mwaka mpya wakuu,Naitwa Geofrey wa Moro,kwa heshima na tahadhima kwa yeyote mwenye mapenzi mema aniunganishe na kazi yoyote,nina uzoefu wa kutibu na kuhudumia mifugo,kilimo,compyuta n.k mawasilianao 0689339355.

MUNGU AKUBARIKI
 
Kazi zingine mkuu unatakiwa ujiajiri tu
 
Jiajiri mkuu
 
Njoo Turiani tulime....
 
Wakuu mbalimbali amini msiamini vijana tunatofautiana sana kiuwezo,

Hi changamoto inaanzia kwenye ngazi ya familia, kunafamilia zinazojiweza na zisizojiweza.

Naamini kabisa huyu kijana anazijua fursa zote izo na pengine anatamani kufanya hivyo ila kwasababu zilizo nje ya uwezo wake zinamuwia vigumu.

🔥 Mtaji (capital) ni changamoto kubwa mno, familia nyingi ukipiga tathmini hata wajichange wote hawataweza kum-fund kijana wao.
Kama umetokea kwenye familia inayoweza kukufund ili ujikwamue mshukuru mungu.

🔥Ardhi (Land) kua na eneo lakufanya hizo shughuli za kufuga ni kipengele kingine.

Kwahiyo wakuu suala la kujiajili inabidi tuliangalie kwa jicho la tatu sio lahisi kwa watu wote kama tunavyofikili.

Kwahiyo wakuu, mdau yeyote mwenye fursa/connection kama alivyopendekeza hapo juu amsaidie
Ili aweze kusave na baada ya muda ku-invest kama mnavyomshauri, pia akipata fursa hiyo itampanulia wigo atakutana na wadau mbalimbali.

Kazi zingine mkuu unatakiwa ujiajiri tu

Jiajiri mkuu

Elimu yetu haina msaada kabisa!

Umesomea kilimo halafu bado unalilia kuajiriwa?

Huyu afuge kuku nguruwe koz tayari Ana professional
Na alime

Vijana wa bongo kupenda kazi za kwenye kiyoyozi ndo wanakufa for nothing hivihvi

Anazingua jombaaaa

Mind set hivi kua na ujuzi kama huu kazzi za ofisin huoni kua unaenda kunufaisha watu?

Anataka Kazi za kuvaa Tai
 
Heri ya mwaka mpya wakuu,Naitwa Geofrey wa Moro,kwa heshima na tahadhima kwa yeyote mwenye mapenzi mema aniunganishe na kazi yoyote,nina uzoefu wa kutibu na kuhudumia mifugo,kilimo,compyuta n.k mawasilianao 0689339355.

MUNGU AKUBARIKI
omba kazi ya kuchunga ng'ombe au mbuzi mkuu, mbona kazi zipo kibao au hata za kulisha nguruwe.
 
Heri ya mwaka mpya wakuu,Naitwa Geofrey wa Moro,kwa heshima na tahadhima kwa yeyote mwenye mapenzi mema aniunganishe na kazi yoyote,nina uzoefu wa kutibu na kuhudumia mifugo,kilimo,compyuta n.k mawasilianao 0689339355.

MUNGU AKUBARIKI
Ndg utapoteza muda kutafuta kazi ,kitu unachotakiwa kufanya tafuta sehemu tafuta wafugaji na wakulima jitangaze toa ushauri kama wataomba uwatibie mifugo yao tibu kama ulivyo jifunza ,anzafikra za kujiajili kwa sekta yako hiyo inawezekana kabisa chukua hatua ya kujiajili ndg pamoja na ugumu wote utatoka tu
 
Kuna kazi ya mifugo,mshahara 70000 kwa mwenzi kuka bure kula bure kama upo tayari nambie nikuunganishe.
 
Back
Top Bottom