Mpambanaji huru
New Member
- Apr 11, 2022
- 3
- 2
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha
Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti.
Naombeni sana mnisaidie ili nijikwamue kiuchumi.
Napatikana Dar es Salaam
Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti.
Naombeni sana mnisaidie ili nijikwamue kiuchumi.
Napatikana Dar es Salaam