Mpambanaji huru
New Member
- Apr 11, 2022
- 3
- 2
asante sanaaJaribu hapo
Ulisoma sayansi?Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha
Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti.
Naombeni sana mnisaidie ili nijikwamue kiuchumi.
Napatikana Dar es Salaam
Ulisoma masomo gani na uko dsm sehemu gani?Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha
Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti.
Naombeni sana mnisaidie ili nijikwamue kiuchumi.
Napatikana Dar es Salaam
nimesoma masomo ya arts niko dsm mombasa ukonga
Sisi tunaitwa Abraar Education CentreMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha
Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti.
Naombeni sana mnisaidie ili nijikwamue kiuchumi.
Napatikana Dar es Salaam