Natafuta kazi yoyote, nina uzoefu wa kubeba mizigo na kutumia computer

wa log

Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
76
Reaction score
54
Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote.

Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji.

Niko tayari kwenda hata mikoani.

Help please.
 
Wadau watasogea, jaribu kupost pia mida mizuri , Tanzania itakua saa saba na nusu usiku mda huu watu wamelala wakiamka uzi wako utakuwa umeshafichwa hawatauona
Asante itabid niutume Tena.
 
Kama unatafuta ajira na upo teyari kulinda....ebu njoo gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu...uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha nida...bila kusahau TIN...Ofisi zipo mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
 
Mkuu urefu futi ngap naomba kujua nataka nije
 
Kama unatafuta ajira na upo teyari kulinda....ebu njoo gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu...uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha nida...bila kusahau TIN...Ofisi zipo mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
Hao Gardaworld wana sheria ni shida wanakwangalia bila kujali hata hawaangalii experience ya mtu ila kama una bahati yako ni vema wanafaa.
 
Sheria walizonazo Gardaworld mimi naona kazi yao itakuwa ngumu sana , niwashauri jambo tu , kuna mtu si mfupi sana hata awe na elimu yake ya chuo kikuu basi apewe kipa umbele maana elimu nayo ni bora inasaidia kuliko hata urefu .
Pia wasiwaache kazi watu wenye udhoefu maana ni faida kwenye kazi ya ulinzi.
 
yap....vigezo ndio kipaumbele chao cha kwanza...kingine ukiwa mrefu vingine vyote vinaweza kufukiwa fukiwa...kikubwa ni urefu tu
 
Sheria walizonazo Gardaworld mimi naona kazi yao itakuwa ngumu sana , niwashauri jambo tu , kuna mtu si mfupi sana hata awe na elimu yake ya chuo kikuu basi apewe kipa umbele maana elimu nayo ni bora inasaidia kuliko hata urefu .
Pia wasiwaache kazi watu wenye udhoefu maana ni faida kwenye kazi ya ulinzi.
wanachotaaka wao ni mtu na sio vyeti...kipaumbele chao kikubwa ni urefu...unaweza ukaenda bila cheti wakakuelewa ila tu uwe mrefu...lakini ata uenda na vyeti vini kama ujazo wa kaunta buku la kwaya 4...kama hujatimiza kigezo cha urefu awakuangalii usoni...kingine kwenye kazi za ulinzi siku hizi...usibebe vyeti vya elimu ya juu...weka tu cha la saba kama huna tumia cha kidato cha nne...ukishaanza kuweka sijui vyeti vya shahada...unajipunguzia kigezo cha kupata ajira.
 
Back
Top Bottom