Very niceKama unatafuta ajira na upo teyari kulinda....ebu njoo gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu...uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha nida...bila kusahau TIN...Ofisi zipo mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
Mkuu urefu futi ngap naomba kujua nataka nijeKama unatafuta ajira na upo teyari kulinda....ebu njoo gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu...uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha nida...bila kusahau TIN...Ofisi zipo mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
Hao Gardaworld wana sheria ni shida wanakwangalia bila kujali hata hawaangalii experience ya mtu ila kama una bahati yako ni vema wanafaa.Kama unatafuta ajira na upo teyari kulinda....ebu njoo gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu...uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha nida...bila kusahau TIN...Ofisi zipo mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
Kwa mwanaume kuanzia 5.6 hadi 5.7 ila kwa wanawake 5.4Mkuu urefu futi ngap naomba kujua nataka nije
yap....vigezo ndio kipaumbele chao cha kwanza...kingine ukiwa mrefu vingine vyote vinaweza kufukiwa fukiwa...kikubwa ni urefu tuHao Gardaworld wana sheria ni shida wanakwangalia bila kujali hata hawaangalii experience ya mtu ila kama una bahati yako ni vema wanafaa.
wanachotaaka wao ni mtu na sio vyeti...kipaumbele chao kikubwa ni urefu...unaweza ukaenda bila cheti wakakuelewa ila tu uwe mrefu...lakini ata uenda na vyeti vini kama ujazo wa kaunta buku la kwaya 4...kama hujatimiza kigezo cha urefu awakuangalii usoni...kingine kwenye kazi za ulinzi siku hizi...usibebe vyeti vya elimu ya juu...weka tu cha la saba kama huna tumia cha kidato cha nne...ukishaanza kuweka sijui vyeti vya shahada...unajipunguzia kigezo cha kupata ajira.Sheria walizonazo Gardaworld mimi naona kazi yao itakuwa ngumu sana , niwashauri jambo tu , kuna mtu si mfupi sana hata awe na elimu yake ya chuo kikuu basi apewe kipa umbele maana elimu nayo ni bora inasaidia kuliko hata urefu .
Pia wasiwaache kazi watu wenye udhoefu maana ni faida kwenye kazi ya ulinzi.