Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

Haruna1

Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
7
Reaction score
1
Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile.

Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile.

Atayeguswa naomba anipe msaada kwenye Jambo hili.

Asanteni
 
ongezea nyama kidogo, kama elimu yako, uzoefu wa shughuli mbali mablai kama kilimo, ufugaji, mazao, usimamizi wa biashara n.k
 
Asante, Elimu yangu ni Bachelor of Commerce in Accounting, pia nilifanya kazi ya kusimamia shamba la kuku na Ngombe , baada ya hapo nikafanya kazi ya usimamizi wa ghala la nataka yaani mazao Kama Mahindi.
 
umri kaka, tuchekiane inbox
 
Back
Top Bottom