Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

Ay_sher

Member
Joined
Oct 24, 2024
Posts
17
Reaction score
40
Habari za wakati huu ndugu zangu.

Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu.

Napatkana Dar es Salaam
Mawasiliano yangu ni; 0784990919
Natanguliza Shukrani.
 
Nenda TAKWIMU HOUSE,utapata kazi.
 
Umri wako .Je ?wewe ni muaminifu isijekuwa depression inakusumbuwa.
 
Habari ndugu zangu, natafuta kazi yoyote ile iwe halali tu, nina shahada ya uchumi napatikana Dar es salaam.
Kazi iwe ndani ama nje ya fani nipo tayari, nisaidieni ndugu zangu iwe kazi ya stationary, kuuza bidhaa, hata kazi ya ndani nipo tayari. Maisha ni magumu mnoo uwiih😭😭
Una ujuzi gani
 
Habari zenu,
Naombeni mnisaidie kazi yoyote kigezo iwe ya halali tu napatikana dar es salaam. Nina shahada ya uchumi, iwe ndani au nje ya fani. Pia nipo vizuri kwenye mahesabu.
Kazi yoyote ile iwe stationary,kuuza bidhaa hata u house girl Jmn maisha ni magumu mnooo🥹😭🙌🏻.
Mawasiliano 0784990919
Natanguliza shukran.
Dogo kama ulisave tuhela ulipokuwa chuo au unavihela au kuna mtu anaweza kukulipia hela kidogo.NENDA VETA KASOME SHORT COURSE YOYOTE UIPENDAYO🤝

Hutajutia uamuzi wako wa kuchukua fani ya ufundi utasahau hizi habari za kuombaomba ajira in short period of time!!!Angalia katika mazingira yako kuna uhitaji gani changamkia fursa🤗

📌📌Swallow your pride,nenda ukachukue ujuzi na ukimakinika, ujuzi utakulipa.💪
 
Eleza uko wap?

Jinsia yako?

Una uzoefu gani ? Na kwa muda gani?

Kingine ukiomba kazi au kitu kama official ukitype kwa simu au kompyita epuka kutumia emoji kama hiyo?

Kila la khery mkuu
 
Najua kutumia kompyuta, pia nipo vizuri kwenye masuala ya mahesabu nna Shahada ya Uchumi na Takwimu.
Shukran.
Kutumia kompyuta kwenye nn hasa Microsoft word ? Excel? PowerPoint au nn ? Maake Ina vitu vingi kuwa specific

Ukafanikiwe
 
Habari zenu.
Samahani sana, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali nina shahada ya uchumi na takwimu, pia najua kutumia kompyuta. Nipo tayari kufanya kazi yoyote hata ambayo ipo nje ya career. Pia ni mpishi mzuri kwa hvo hata kwenye kazi zas kupika nna fit.
Naombeni msaada wenu Maisha magumu jamani😭.
Natanguliza shukrani.
Mawasiliano yangu ni 0784990919
Olewa.
 
Habari zenu.
Samahani sana, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali nina shahada ya uchumi na takwimu, pia najua kutumia kompyuta. Nipo tayari kufanya kazi yoyote hata ambayo ipo nje ya career. Pia ni mpishi mzuri kwa hvo hata kwenye kazi za kupika nna fit.
Napatikana Dar es salaam
Natanguliza shukrani.
Mawasiliano yangu ni 0784990919
Vzr ,fikitia kujiajiro pia
 
Habari zenu.
Samahani sana, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali nina shahada ya uchumi na takwimu, pia najua kutumia kompyuta. Nipo tayari kufanya kazi yoyote hata ambayo ipo nje ya career. Pia ni mpishi mzuri kwa hvo hata kwenye kazi za kupika nna fit.
Napatikana Dar es salaam
Natanguliza shukrani.
Mawasiliano yangu ni 0784990919
Usikate tamaa,pambana,utafanikiwa
 
Habari zenu.
Samahani sana, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali nina shahada ya uchumi na takwimu, pia najua kutumia kompyuta. Nipo tayari kufanya kazi yoyote hata ambayo ipo nje ya career. Pia ni mpishi mzuri kwa hvo hata kwenye kazi za kupika nna fit.
Napatikana Dar es salaam
Natanguliza shukrani.
Mawasiliano yangu ni 0784990919
Nenda salady for day....kaombe kazi kupika ujishikize....tuma cv recruitment agencirs.....rada ...cv people etc....
 
Naweza kuchukua namba yako kwa matumizi mengine?? Mfano nikiwa nahitaji mke
 
Habari za wakati huu,
Naombeni mnisaidie ndugu zangu natafuta kazi nina degree ya Statistics kutoka chuo kikuu cha dar es salaam. Iwe internship au hata kazi ambayo ipo nje ya career pia nitashukuru.
Napatikana Dar es salaam na Dodoma.
Hata ikiwa mkoa tofauti na hiyo pia nipo tayari.
Mawasiliano 0784990919.
Natanguliza shukran zangu kwenu.
 
Back
Top Bottom