Natafuta kazi yoyote ya halali. Niko Dodoma

Joined
Jun 16, 2019
Posts
28
Reaction score
14
Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa

Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka.

Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
 
Vijana wa sasa hamshughulishi vichwa kutafuta maisha. Nakupa wazo; fanya hivi:

Tafuta elfu 10 request BOLT route ya elfu 4 atakapokufikisha kaa saa 1 kunywa soda moja nunua na maji then request tena nyingine ikurudishe ukapumzike. Sasa; kwenye route zako zote pigisha stori hayo dereva wa Bolt wambie ww ni dereva unatafuta geri hata ya deiwaka..... huo ndio utakua mwanzo wako wa kupata kazi, hawakosagi connection. Mara 2 mara 3 utafanikiwa tu kupata anayejua matajiri wenye magari na wanatafta madereva...pengine dereva huyohuyo atakupa deiwaka
 
Aisee yani mtu akupe gari/pikpik yake deiwaka na ilhali humjui na wala hakujui kisa tu uli request usafiri wake na kumwambia wewe ni dereva

Kama akichukua hili wazo basi ajiandae kutafuta hizo elf 10 nyingi sana hadi pale atakapofanikiwa Ku request bolt inayoendeshwa na Malaika
 
Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa

Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka.

Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
Ngoja nikusaidie kwa kukuwekea tangazo lako kwenye page yangu Facebook.
 
Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa

Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka.

Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
Kaka namjua mwana aliomba kazi ya usafi wizara flan.. Akafagia na kusafisha vyoo kwa miez 6.. Na vyeti vyke vya udereva.. Pale alitengeneza uaminifu na connection, kila mtu wizaran alijua ni dereva. TO kuna nafasi zilitokea akamwita jamaa kwenye interview akapita na mpaka sasa anapiga kazi mshahara mnono... Tuanzie chini kutafta koneksheni
 
Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa

Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka.

Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com

Hakuna sababu ya kijana wa Kitanzania kukaa bure wakati ana nia ya kazi.

Njoo Abraar Education Centre, Kibaha, tukufundishe kazi za kuunda vifaa vya ujenzi huku unalipwa. Baada ya muda mchache (kutegemea na juhudi yako) unakua fundi kamili wa vifaa vya ujenzi. Wakati upo hapa unaweza kujione fursa za kazi nyinginezo ukajifundisha uipendayo kwa muda mchache ukawa tegemeo (inatgemea na juhudi zako, hapa tunasisitiza sana katika kujituma, ubora, nidhamu na miiko ya kazi.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa whatsapp 0625249605.

Abdul Ghafur

whatsapp 0625249605.
 
Back
Top Bottom