mohamed habibu
Member
- Jun 16, 2019
- 28
- 14
A,b,d,e kakaLesen yako mkuu?! Madaraja gan
Sehemu ganiMkuu kajichanganye kwenye miradi ya ujenzi inayoendelea hapo Dodoma.
Aisee yani mtu akupe gari/pikpik yake deiwaka na ilhali humjui na wala hakujui kisa tu uli request usafiri wake na kumwambia wewe ni derevaVijana wa sasa hamshughulishi vichwa kutafuta maisha. Nakupa wazo; fanya hivi:
Tafuta elfu 10 request BOLT route ya elfu 4 atakapokufikisha kaa saa 1 kunywa soda moja nunua na maji then request tena nyingine ikurudishe ukapumzike. Sasa; kwenye route zako zote pigisha stori hayo dereva wa Bolt wambie ww ni dereva unatafuta geri hata ya deiwaka..... huo ndio utakua mwanzo wako wa kupata kazi, hawakosagi connection. Mara 2 mara 3 utafanikiwa tu kupata anayejua matajiri wenye magari na wanatafta madereva...pengine dereva huyohuyo atakupa deiwaka
Ngoja nikusaidie kwa kukuwekea tangazo lako kwenye page yangu Facebook.Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa
Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka.
Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
Kaka namjua mwana aliomba kazi ya usafi wizara flan.. Akafagia na kusafisha vyoo kwa miez 6.. Na vyeti vyke vya udereva.. Pale alitengeneza uaminifu na connection, kila mtu wizaran alijua ni dereva. TO kuna nafasi zilitokea akamwita jamaa kwenye interview akapita na mpaka sasa anapiga kazi mshahara mnono... Tuanzie chini kutafta koneksheniMim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa
Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka.
Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa