Natafuta kazi yoyote ya halali

Natafuta kazi yoyote ya halali

Joined
May 20, 2020
Posts
6
Reaction score
2
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa.
Nina ujuzi wa;
  1. Diploma ya record management
  2. Diploma ya music production
Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza.

NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa makanisa yanayoitaji mtu mwenye ujuzi wa utunzaji wa vyombo vya muziki, zaidi najua kucheza baadhi ya instrument kwa ufanisi mkubwa. Nacheza piano, guiter zote bass, acoustic, solo drumz pia naweza.

Kuwa mwalimu kwa anayeitaji kujifunza, naweza fanya pia kazi katika bend kwa kanisa ambalo linaitaji mpigaji. Unaweza kuniconnect nikafanya kama huduma, nasali katika makanisa ya TAG sio mbaya hata kama nitapata katika kanisa lolote, mimi ni kijana mwaminifu

Zaidi naweza kufanya kazi kama bodaboda, kwa mwenye nayo anaweza nipa mkataba.

Natanguliza shukrani zangu.

Napatikana Dar es Salaam
0764816825
🙏🙏

Mungu awabariki fam, nipeni mchongo pia kama kuna kazi yoyote ile usisite kuniambia, kwani sichagui kazi🙏
 
Back
Top Bottom