Habari wana JF,
Mimi ni kijana Mwenye umri wa miaka 24, Naitwa Isack Mussa. Ni muhitimu wa chuo kikuu (UDSM) course BCOMM HRM.
Nimehitimu 2021 mpaka sasa sijafanikiwa kupata ajira. Nipo hapa kama familia kuomba msaada wa yeyote atakae weza fanikisha Mimi kupata ajira au kazi ya kuniingizia kipato. Kwa sasa naishi dar es salaam .
Natanguliza shukrani za dhati kwenu nyote.
Mawasiliano 0657380484