Natafuta kazi yoyote ya halali

Abiya94

Member
Joined
May 12, 2021
Posts
6
Reaction score
2
Nina umri wa miaka 28 ninaishia Bagamoyo maeneo ya Mapinga shule ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 na Secretary hivyo ninaouzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.na kazi ya uwakala wa benk na tigopesa na Mpesa,usafi ofisini.

Ninaouwezo wa kutumia computer vizuri na kuchapa document kwa haraka ninaweza kutumia program ya Microsoft office na kuandaa, Card za sherehe mbalimbali ikiwemo Harusi Seandoff, Kitchen party.

Abiya Charles 0656956916/0694408033
 
Tafuta passport ukafanye kazi nje
 
Uarabuni unaenda kama care giver. Siku hizi sio kama zamani. Husafiri bila vibali vya mamlaka. Ukipata mtaji wako unaingia ulaya.
Mmmh! Hata hela ya passport Sina
 
Kuna kazi huko Bagamoyo, baobab hospital ya secretary, Ila wanataka waliosomea wenye cheti.
 
tUWASILANE 0717157640
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…