Habarini za muda huu wakuu,
Mimi ni kijana mwanajukwaa mwenzenu nipo Kahama hapa naona maisha yananiendea kombo hiki kipindi kiasi kwamba mpaka kula yangu inaelekea kuwa jambo la mashaka,hivyo naomba yeyote mwenye kuweza kunipa kazi/kibarua anipe nisije nikafa njaa hapa mjini.
Kitaaluma mimi ni mwalimu wa sekondari ngazi ya shahada (sio mwajiriwa),vile vile nina ujuzi wa kuendesha bajaji hivyo kwa yeyote atakayewiwa kunisaidia pm yangu ipo wazi masaa 24.
Nawasilisha🙏