Natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo Kahama

Un
Una ujuzi Gani?
 
Nenda kijijini kalime utapinga hela sana kuliko kungngania mjini na unahela utatia uruma tu mwaisa kusoma now sio issue watu wanaona kawaida sana.
 
Habari

Una Uzoefu wowote wa usimamizi wa biashara gani mfano, kilimo, mazao, ufugaji , biashara ya jumla au reja reka n.k?

Pia Umri wako ni miaka mingapi?
 
Habari

Una Uzoefu wowote wa usimamizi wa biashara gani mfano, kilimo, mazao, ufugaji , biashara ya jumla au reja reka n.k?

Pia Umri wako ni miaka mingapi?
hapo biashara zote naweza kusimamia isipokuwa hiyo ya ufugaji.
Umri ni miaka 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…