Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Kwa majina naitwa Hussein Mohamedi Bendera kijana wa Kitanzania umri wa miaka 27.

Nachukua nafasi hiii kuwajulisha ndugu zangu kuwa natafuta kazi yoyote ile ya halali inayotumia nguvu ama ya elimu, kwenye elimu kiwango changu nilichofikia ni kiwango cha Degree na katika kozi ya ualimu (BAED) masomo ya Literature in English & Kiswahili from UDSM class of 2020.

Kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0676917970 au 0693800965
nipo Dar es salaam

Email: Mohamedihussein01@gmail.com

Please i need your help guys
 
Mkuu kwanini usiwe mwalimu wa kiswahili ufundishe wageni kupitia online website kenya Wana walimu wengi wanafundisha kiswahili wageni na inawaingizia sana pato,
 
Mkuu kwanini usiwe mwalimu wa kiswahili ufundishe wageni kupitia online website kenya Wana walimu wengi wanafundisha kiswahili wageni na inawaingizia sana pato,
naomba kujua ukoje huo mchongo na watumiaje kuwapata hao wageni au labda kuna taratibu za kufuata ili kujiunga nielekeze mkuu
 
Back
Top Bottom