Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
thanksGood luck to you
oksawa
naomba kujua ukoje huo mchongo na watumiaje kuwapata hao wageni au labda kuna taratibu za kufuata ili kujiunga nielekeze mkuuMkuu kwanini usiwe mwalimu wa kiswahili ufundishe wageni kupitia online website kenya Wana walimu wengi wanafundisha kiswahili wageni na inawaingizia sana pato,
naomba kujua ukoje huo mchongo na watumiaje kuwapata hao wageni au labda kuna taratibu za kufuata ili kujiunga nielekeze mkuu
Amiiin mkuu🙏Mungu akupe hijali lako...Usisahau kutanguliza dua