Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

Mbulukenge

Senior Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
130
Reaction score
306
Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama..
Uzoefu nlionao driving.
Kulinda.
Kufuga.
Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu.
Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM.
Niko juu ya mawe naomba msaada sana please 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom