Natafuta kazi yoyote

tEcHiE

Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
55
Reaction score
92
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa kitanzania ,mwenye nia ya kufanya mabadiliko kwa kuleta chachu ya maendeleo kwa kushiriki kulipa kodi na kufanya majukumu mengine kama raia

Changamoto yangu ni kama vijana wengine wa kitanzania tuliozqliwa kwenye wimbi la umaskini kukosa hata mitaji ya biashara wala connection za kazi

Hivyo basi nimeonelea ni vuema ni kilitumia hili jukwaa kama njia ya kupaza sauti yangu kwa wadau mbalimbali atakaeguswa nami kuhusu suala langu la kuomba ajira yoyote
Elimu niliyonayo s kubwa
Nina cheti cha ufundi stadi daraja la iii (vocational certificate in information and communication technology)
Na sina kiburi wala jeuri ya kuchagua kazi .

Nitashukushuru kwa lolote lile iwe wazo la kimaendeleo au connection ya michongo ya kazi .
 

Attachments

Kama upo dar nenda viwandani huko kikubwa uwe na miguu miwil na mikono miwil
 
Unatafuta kazi yeyote au ajira yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…