Vijana wanachagua kazi, uongo Mkuu..?Kwani lazima uajiriwe? Angalia fursa huko uliko tumie elimu yako kupata pesa
fact mkuu...Kama ungekuwa unataka kazi yeyote tu basi hukuwa na haja ya kusema unadegree.
Lakini kwa kuwa unataka kazi yeyote na unadegree basi sema ni degree ya nini, ili ujaribu kotekote, huwezijua...
Kama angeweza kutumia elimu yake kupata kazi bc asingekuja kuomba msaada, kama huna msaada pita kimya kimyaKwani lazima uajiriwe? Angalia fursa huko uliko tumie elimu yako kupata pesa
Kwa nini nipite kimya wakati kuna alternative ya kujiajiri?Kama angeweza kutumia elimu yake kupata kazi bc asingekuja kuomba msaada, kama huna msaada pita kimya kimya
Sawa, bc mpe mtaji ajiajiri au muajiri au mpe hizo mbinu za kutumia elimu yake kujiajiriKwa nini nipite kimya wakati kuna alternative ya kujiajiri?
Unadhani kujiajiri ni mpaka uwe na mtaji. Nguvu ulizozaliwa nazo pia ni mtaji tosha. Ni fikra tu za kimaskini ndio zinawafanya vijana kuzidi kuwa maskini. Mbona mkienda nje nchi kama South Africa mnajituma mpk mnapata mitaji ya kufungua biashara na kufanikiwa. Vijana ni wavivu sana na mna mentality ya kubweteka. Ukiona mzazi wako alikuwa na kazi nzuri na nyie mnataka mpitie njia hiyo hiyo wakati dunia imeshabadilikaSawa, bc mpe mtaji ajiajiri au muajiri au mpe hizo mbinu za kutumia elimu yake kujiajiri
Kipi kinachokushangaza?dah kaka una degree unatafuta kazi ya ukonda oooh myGod [emoji24]
Wewe degree yako inahusu masuala gani?Kahama ndo nyumbani?Kwanza kabisa niwasalimu ndugu wote wana jf, mimi nikijana mwenye 25yrs, elimu degree, naishi kahama, nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu mkubwa naombeni kwa yeyoyote.
Mwenye connection ya ajira iwe rasmi ama isiwe rasmi hata ukondakta niko tayari kufanya kwa uaminifu mkubwa na moyo wangu wote ilimradi mkono uende kinywani iwe kahama au nje ya kahama popote pale.
Hali ni ngumu wanajamvi, natanguliza shukrani zangu kwenu. namba zangu ni 0692701879.