disturbanced
Member
- Oct 27, 2024
- 21
- 25
Jf habari za humu
Uzi wangu huu hauna mambo mengi, mimi n kijana wa kiume umri miaka 25 kwa sasa sina kazi yeyote na ninatamani sana kuhama mkoa niliopo.
Ombi langu kwenu najua humu kuna watu tofauti natamani kama ningeweza angalau kufanya vibarua kwenye mradi wowote wa ujenzi wa serikali ninayo uzoefu na kazi hizi kwani nmekua nikizifanya muda mrefu mradi eneo lolote nitasafiri kwa gharama zangu mwenyewe.
Ahsanteni naomba kuwasilisha🙏