Natafuta kazi
Member
- May 10, 2012
- 31
- 1
Una degree ya nin?
Home economics and human nutrition
Hebu tuangalie gemu kwanza. Hayo mambo baadae.
ulimaliza mwaka gani? na una uzoefu wa microfinance kwa muda gani? haya maswali muhimu kabla sijakuambia utume cv
Hiyo kozi c inahusu mambo ya mapishi au?
sasa mbona naona ID ni tofaut kati ya muomba kazi na wewe TATIANA unayejibu?NO,si kweli.