Natafuta kazi za nutrition

Natafuta kazi za nutrition

Natafuta kazi

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
31
Reaction score
1
Kwa mara ingine najitokeza hapa naombeni mnisaidie ni wapi naweza pata kazi,nina degree na nimefaulu vizuri tu ila sijafanikiwa kupata kazi.

naomba mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie jamani,nimesoma kozi za uchumi pia nimeshawahi fanya kazi kwenye microfinance.

mwenye kuguswa na tatizo langu aniPM na ninataguliza shukrani.
 
Hebu tuangalie gemu kwanza. Hayo mambo baadae.
 
ulimaliza mwaka gani? na una uzoefu wa microfinance kwa muda gani? haya maswali muhimu kabla sijakuambia utume cv

Nimemaliza 2008 na nina uzoefu wa zaidi ya mwaka kwenye microfinance
 
Hiyo kozi c inahusu mambo ya mapishi au?
 
Back
Top Bottom