Natafuta kazi za viwandani msaada anaejua

Joined
Sep 18, 2021
Posts
32
Reaction score
33
Habari yako,

Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua.
Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf.

Asante sana.
 
Nenda chang'ombe industrial area
Hasa gold star paints huwa wanachukua daily casual labour saa 1 kamil pale getini
 
Ok nenda mpaka rangi tatu panda gari za mkuranga kuna kiwanda cha wachina kinaitwa BBG na neel salt hawa wanapokea vibarua ila unatakiwa upambane kweli kweli maana wahitaji ni wengi na nafasi ni chache kila la kheri mkuu.
 
Shukrani mkuu
 
Habari yako,

Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua.
Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf.

Asante sana.
Nenda Mbagala rangi tatu kuna kiwanda cha rasta kwa siku 7,500 malipo
 
Habari yako,

Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua.
Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf.

Asante sana.
 
Nakupa fursa mbili zilizopo Shule ya Sekondari Sakana Iliyopo Kiluvya, Gogoni, jijini Dar Es Salaam.

1. Kama wewe ni Mwalimu wa Fizikia na Hesabu (Basic Mathematics) karibu ufanye Interview, ya masomo hayo mawili, anahitajika Mwalimu wa masomo hayo as soon as Possible.

2. Kuna nafasi za kuhamia kidato cha kwanza na cha tatu kuanzia mwaka huu 2022, endapo utaleta Mwanafunzi kujiandikisha, utapewa kiasi cha Shilingi 100,000/= hii ni shule ya kwanza kuweka fursa hii kwa mtu yeyote, bila kujuana. The more the heads, the more the money.....

Shule pia itaendelea kupokea wanafunzi wa kidato cha pili mwaka 2023' mapema mwisho wa Mwaka huu.

Kwa mawasiliano;
0743123946 WhatsApp
0684436954 Call.

Karibu.
 
Back
Top Bottom