Nuno esparito santo
Member
- Sep 18, 2021
- 32
- 33
Nenda chang'ombe industrial areaHabari yako,
Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua.
Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf.
Asante sana.
Msaada napanda gari za wapi kutokea kivukoni?Nenda chang'ombe industrial area
Hasa gold star paints huwa wanachukua daily casual labour saa 1 kamil pale getini
Shukrani mkuuOk nenda mpaka rangi tatu panda gari za mkuranga kuna kiwanda cha wachina kinaitwa BBG na neel salt hawa wanapokea vibarua ila unatakiwa upambane kweli kweli maana wahitaji ni wengi na nafasi ni chache kila la kheri mkuu.
Fika kariakoo panda gari Za tandika zinazopita veta shuka maduka mawili ulizia gold star utaoneshwaMsaada napanda gari za wapi kutokea kivukoni?
Thanks mkuuFika kariakoo panda gari Za tandika zinazopita veta shuka maduka mawili ulizia gold star utaoneshwa
Nenda Mbagala rangi tatu kuna kiwanda cha rasta kwa siku 7,500 malipoHabari yako,
Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua.
Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf.
Asante sana.
Wapi apo location pleasenenda pale dompo kaoshe chupa
Msaada Kama unajua jina la kiwandaNenda Mbagala rangi tatu kuna kiwanda cha rasta kwa siku 7,500 malipo
Pamoja mdadaKila la kheri
Habari yako,