Natafuta kazi za viwandani

Natafuta kazi za viwandani

mandingo 94

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
269
Reaction score
194
Habar za majukumu wadau kama nilivyo eleza apo juu mim ni mkazi wa dar kitunda natafuta za viwandani hata kibarua mim na fanya msaada wenu 0716527686
 
Amen Mungu akupe hitaji la moyo wako


NB: Nimependa Sir Name yako
 
Na mimi pia wakuu naombeni kazi za viwandani nimekwama
Mawasiliano yangu 0710429664
 
Back
Top Bottom