Natafuta kazi

Pretty P

Senior Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
121
Reaction score
20
Natafuta kazi nimesomea maendeleo ya jamii jinsia na watoto, nina Diploma ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto. Naombeni mnisaidie wana JF
 
Umesoma chuo gani? Umemaliza lini? Kwa ss uko mkoa upi?
 
Natafuta kazi nimesomea maendeleo ya jamii jinsia na watoto, nina Diploma ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto. Naombeni mnisaidie wana JF

Nenda NSSF wanahitaji watu kama wewe, tena wahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…