Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma chuo gani? Umemaliza lini? Kwa ss uko mkoa upi?
</p>Nimemaliza Buhare, na kwa sasa niko Dar. Nisaidie babaubaya
Natafuta kazi nimesomea maendeleo ya jamii jinsia na watoto, nina Diploma ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto. Naombeni mnisaidie wana JF
<p></p>
<p> </p>
Nenda NSSF wanahitaji watu kama wewe, tena wahi.