mimi kwa jina Naitwa Arnold Kavishe, nimehitimu International Diploma in Computer Engineering, katika chuo cha New Horizons. ningependa kupata kazi ya IT TECHNICIAN!
naomba msaada wako tafadhali!
Ushauri wa bure:
Una elimu nzuri sana na nakupongeza kwa kiwango ulichofikia. Kiwango hicho cha elimu kina soko kubwa kwa kuajiriwa au kujiajiri.
Wakati unatafuta ajira uwe wajishughulisha kwanza na kujiajiri mwenyewe kutokana na ufundi wako. Waweza weka tangazo lako dogo hapa uwe unakarabati computer zenye vimelea vinavyosumbua na wakishakujaza msosi kidogo nunua walao Computer kama tatu hivi kuwa cafe yako na hapo utashangaa kuona huna haja ya kutafuta ajira ila kukuza kampuni yako. Hapo akili yako itaibua mengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.