Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

tinya

Member
Joined
Jan 4, 2010
Posts
77
Reaction score
30
Wajameni watanzania wenzangu, Mimi ni kijana wenu natafuta kazi.
Nina advanced diploma ya sayansi ya kompyuta. (Advance diploma in Computer science).
Niko tayari kufanya kazi yoyote ndani ya fani yangu. Lakini ni mzuri zaidi kwenye software engineering(database design, web development n.k)
Kama kuna mtu anatafuta mtu namna yangu plz tcharles82@yahoo.co.uk
 
Back
Top Bottom