Habarini WAna Jf.
Mimi ni kijana wa miaka 25, elimu kidato cha 4 plus certificate/ Nna uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi sehem mbalimbali (mostly kwenye kampuni za betting)
Natafuta ajira mwezenu nina nilikuwa kwenye kampuni hizi za betting ila korona ikasababisha watu wapunguzwe
Kwa mwenye kusikia nafasi kokote pale yoyote ile muhimu pesa kidogo ipatikane tuchekiane,
Hata kama itahitajika pesa kidogo kufanikisha zoezi nipo tayari maana nimekaa sana nyumbani,
Mawasiliano - 0623692494
atakuwa poaa Sanaa akijibu,, huenda akaukwaa uboss fasterNipe mchanganuo wa kuanzisha biashara ya betting,mtaji ni kiasi gani?gharama za kodi zikoje?Gharama za uendeshaji zikoje?faida yake ikoje kwa mwezi?
atakuwa poaa Sanaa akijibu,, huenda akaukwaa uboss faster