Natafuta kazi

Natafuta kazi

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,311
Reaction score
1,018
Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya.
Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania.
Kwa sasa nipo kibaha.
 
Ni aina gani ya kazi kama mtimu wa health system management unaweza kuzifanya??? Both private na serikalini... Tuweze kukusaidia....
 
Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya.
Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania.
Kwa sasa nipo kibaha.
From Mzumbe? Hii kozi ilikuwa Hot sana enzi zetu,
 
Back
Top Bottom