Natafuta kazi

Depretty

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
248
Reaction score
99
Habari,

Nahitaji kazi maeneo ya dar, nina ujuzi wa mambo ya saloon(ya kike na kiume) , lakini pia natafuta kazi za kuuza duka (languo, vipodozi, nk) kazi ya usafi, usaidizi wa ofisini, nyumban kwenda na kurudi) usaidizi wa shuleni hata upishi au kusaidia tu wale watoto na kazi zingine ambazo naweza kuzipata kupitia katika humu.

umri wangu ni 29 jinsia mwanamke, elimu kidato cha 4 lakini pia nina ujuzi wa kompyuta na mambo ya manunuzi na ugavi,

SHUKRAN πŸ™πŸ»
 
Umeolewa? una mtoto/watoto?
 
kuna kazi Moshi, ya uudumu wa ofisi,canteeni na staionary, malipo hayazidi laki moja.kama una interest tuwasiline0717157640
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…