Wewe mdogo wangu ni mzembe kwelikweli toka 2017 hujakubali ku move on..fanya kitu ..jitoe muhanga leo kwa ajili ya kesho..achana na hayo mavyeti yatakupotezea muda..UJUMBE HUU UWAFIKIE WADOGO ZANGU WOTE AMBAO WAMEMALIZA DEGREE ZAO NA HAZIJAWASAIDIA KWA LOLOTE MPAKA LEO😥😥nimesomea Bachelor of Education in science majoring chemistry and biology.
Najua kuendesha gari au pkpk ila nilijifunzia mtaani ko lesseni sina..
Nishaaply kwny taasisi tofauti na nilishafanya kazi kwny shule moja... ila nilipatwa na msiba nikatoa taarifa kazn kurud nikawa nimekosa kazi tena..
chuo kikuu nilihitimu 2017