Mama fikiria kiajiri mwenyewe zaidi kuliko kuajiriwa. Huu ni mtazamo wangu tuu.
Nini kimekushinda katika kujiajiri mama ? Naweza kukushauri uwe muwazi tu
mtaji wa kwanza uliupata wapi ? kwanini usifanye ecommerce , nyingi zao hazihitaji mtaji mkubwa au hazihitaji kapisa ni wewe ujuzi wako na utaalamu wako wa ziada kuliko hiyo ?
kwani kampuni uliyoanzisha ulikuwa unafanya nini ?
Ni mambo mengi lakini cha kwanza ni mtaji (am talking this sincerely, don't let the kidding story around, okay)
Kuna wengine wanatafuta kuajiriwa japo wana andaa shughuli nyingine binafsi pembeni - just a thought kwa faida ya wengine.
Niliwahi kumwambia mtu kama ulivyosema, akaniambia, "you already have it, your brain is the only capital you need". If hard cash is the obstacle, put it aside - out of the way!
Wish you all the best mama!
.
Mtaji in the sense thatb I have to pay the employees, I have to pay rent for the office space, wachia mbali kodi. Na shughuli ninayofanya sio kwamba mzigo unatoka kirahisi rahisi kam duka au boutique. Its more of the brain work. The fact is when I am employed, mshahara wangu toka ofisini utapungua so itapunguza expenditure na kufanya shughuli isiyumbe.
Mama,
umeshajaribu kutuma CV yako kwa employment agencies? Kutegemeana na ulipo..unaweza kujaribu kuwasiliana na e.g Manpower Services na wengine....PM me for more info.
Mtaji in the sense thatb I have to pay the employees, I have to pay rent for the office space, wachia mbali kodi. Na shughuli ninayofanya sio kwamba mzigo unatoka kirahisi rahisi kam duka au boutique. Its more of the brain work. The fact is when I am employed, mshahara wangu toka ofisini utapungua so itapunguza expenditure na kufanya shughuli isiyumbe.
You don't have the money, that is fair enough. Options/alternatives zipo ili upige hatua.
Kufanikiwa kwenye shughuli yako binafsi, ambayo una imani kwamba unaiweza, na una mapenzi makubwa sana ya kile unachotaka kufanya - mtaji wa fedha si lazima uwe ndani ya equation.
.
asante lazy
Je ninafanya makosa kutafuta kazi? niendelee tu na shughuli ya kujiajiri?
asante lazy
Je ninafanya makosa kutafuta kazi? niendelee tu na shughuli ya kujiajiri?
Kuhusu hilo, sidhani kwamba unafanya kosa. Baada ya muda, hiyo ya kuajiriwa utaweza kabisa kuifanya ikawa ndiyo part-time job; ukaendelea nayo hata baada ya kufanikiwa kwenye shughuli yako binafsi.
.
asante lazy
Je ninafanya makosa kutafuta kazi? niendelee tu na shughuli ya kujiajiri?
Binafsi sihitaji kuuliza upo wapi na ni shughuli gani ulikuwa unafanya,lakini kwangu naona ni vizuri ukaangalia altenative ya shughuli uliyokuwa unajiajiri.....si vizuri kufikiria kuajiliwa jaribu kubadili biashara uliyokuwa unafanya.....asante lazy
Je ninafanya makosa kutafuta kazi? niendelee tu na shughuli ya kujiajiri?