Natafuta kazi

Natafuta kazi

Jaribu pia united nations Mama, iliwahi kuwekwa humu ukumbini si muda mrefu sana uliopita jinsi ya kuomba kazi UN. siku hizi enviroment issues zina market zaidi nchi zilizoendela. Good luck and all the best
 
Kuajiliwa jua ni utumwa utalipwa mil 2 lakini utafanyishwa kazi za watu 10 utachoka.....mimi binafsi sifikirii kuajiliwa maana nataka niwe tajiri najua nikiajiliwa sitakuwa tajiri

I like and support this. Nataka kuwa tajiri pia......wahindi TZ pamoja na shule zao nzuri, wanajiajiri. Ndio matajiri wetu...
 
Natafuta kazi popote pale duniani.

Nina ujuzi kwenye fani za Information management systems or environmental analyst.

Natanguliza shukrani kwa yeyote atakayekuwa na information ya katika moja ya fani hizi.

Mama, shikamoo.

Any updates on this pls?...

Son.
 
Back
Top Bottom