Natafuta kazi

Natafuta kazi

baby seky

Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
10
Reaction score
13
Mimi ni binti miaka 26
Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani.
Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote 🧎🏻‍♀️🙏
 
Kuna kataasisi kamikopo kanatafta maafisa mikopo sema upo mbali

Vigezo uwe na elimu kuanzia diploma na kuendelea na ujue kuendesha pikipiki na computer kama utaweza fika chuo cha utumishi wa umma tabora tarehe 9 mwezi huu ufanyiwe usaili
 
kuna kataasisi kamikopo kanatafta maafisa mikopo sema upo mbali
vigezo uwe na elimu kuanzia diploma na kuendelea na ujue kuendesha pikipiki na computer
kama utaweza fika chuo cha utumishi wa umma tabora tarehe 9 mwezi huu ufanyiwe usaili

Dah asantee shida ni hiyo kuendesha piki piki 😩
 
Nyie sio wa kuwaamini hapa mnakuwa wanyenyekevu mkipita huko mnatuletea tozo

Jokes mkuu kila la kher
 
Back
Top Bottom