kuna kataasisi kamikopo kanatafta maafisa mikopo sema upo mbali
vigezo uwe na elimu kuanzia diploma na kuendelea na ujue kuendesha pikipiki na computer
kama utaweza fika chuo cha utumishi wa umma tabora tarehe 9 mwezi huu ufanyiwe usaili
Dah asantee shida ni hiyo kuendesha piki piki π©kuna kataasisi kamikopo kanatafta maafisa mikopo sema upo mbali
vigezo uwe na elimu kuanzia diploma na kuendelea na ujue kuendesha pikipiki na computer
kama utaweza fika chuo cha utumishi wa umma tabora tarehe 9 mwezi huu ufanyiwe usaili
Pole sana ila ilikuwa unauwezo wa kujifunza ata siku moja tu ukaelewaDah asantee shida ni hiyo kuendesha piki piki π©