Natafuta kazi

Natafuta kazi

msela66

Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
5
Reaction score
1
Mm nimemaliza UDSM natafuta kazi katika field ya Information Technology
 
duh.. Sentensi moja tu.. Inatosha kukpatia kazi??? Kweli we engneer!! Hata kama ni demu hakupi?? Jimwage mkuu!! Unaweza kufanya kazi gani..uliwahi kufanya kazi ipi hta ya kujitolea.. Kwa nini watu wakutafute wewe wasiwatafute wengine( aded value/advantage).. Mawasiliano yako..in short wndik cv yako vizuri.. Kisha fungua www.googlereader.com with ur gmail accunt loged inn then subscribe to kazi tanzania.. Watakuwa wanakutumia kila opportunity zinapotokea. Ni jukumu lako kuchungulia kila siku..gud luck
 
Back
Top Bottom