Koinonia 777
New Member
- Dec 3, 2022
- 2
- 4
Habari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es Salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ Sinza Mori.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakuombeaHabari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ sinza mori.
OK, unasali kwa Sunbella Kyando. Mungu akusaidie kukufanyia wepesi. Wewe ni mwerevu sana, kuna wengine wakitaka kazi wanaenda kunywa maji kisha wanapaka mafuta na kujifungia ndani wakisali, ila wewe umechukua hatua. Ombeni, Bisheni yaani nenda kabishe huko kwenye milango ya watu ikiwemo hapa JF, Tafuteni, hakika umetafuta hakika soon utapata hitaji la moyo wakoHabari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es Salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ Sinza Mori.
Ndio nasali kwa Sunbella Kyando. MUNGU ni mwema nitapata. Amen na asante.OK, unasali kwa Sunbella Kyando. Mungu akusaidie kukufanyia wepesi. Wewe ni mwerevu sana, kuna wengine wakitaka kazi wanaenda kunywa maji kisha wanapaka mafuta na kujifungia ndani wakisali, ila wewe umechukua hatua. Ombeni, Bisheni yaani nenda kabishe huko kwenye milango ya watu ikiwemo hapa JF, Tafuteni, hakika umetafuta hakika soon utapata hitaji la moyo wako
Barikiwa sanaNdio nasali kwa Sunbella Kyando. MUNGU ni mwema nitapata. Amen na asante.