Natafuta kazi

Habari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es Salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ Sinza Mori.
OK, unasali kwa Sunbella Kyando. Mungu akusaidie kukufanyia wepesi. Wewe ni mwerevu sana, kuna wengine wakitaka kazi wanaenda kunywa maji kisha wanapaka mafuta na kujifungia ndani wakisali, ila wewe umechukua hatua. Ombeni, Bisheni yaani nenda kabishe huko kwenye milango ya watu ikiwemo hapa JF, Tafuteni, hakika umetafuta hakika soon utapata hitaji la moyo wako
 
Ndio nasali kwa Sunbella Kyando. MUNGU ni mwema nitapata. Amen na asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…