A abubaksad New Member Joined Dec 24, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Jan 1, 2012 #1 Natafuta kazi ya ufundi umeme wa majumbani/viwandani na kwenye minala ya simu.
M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 310 Reaction score 44 Jan 1, 2012 #2 Mkuu km hii ndo style ya kuomba nadhan yeyote angelipata tu!..andika umesomea nn,level gan, uzoefu then mawasiliano!..hapo ndo utaeleweka!
Mkuu km hii ndo style ya kuomba nadhan yeyote angelipata tu!..andika umesomea nn,level gan, uzoefu then mawasiliano!..hapo ndo utaeleweka!
M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 310 Reaction score 44 Jan 1, 2012 #3 Kwa msaada zaidî chukua Daily news ya 30Dec.2011 na Mwananchi 28Dec. 2011 kuna hzo kaz za design hzo!
Kwa msaada zaidî chukua Daily news ya 30Dec.2011 na Mwananchi 28Dec. 2011 kuna hzo kaz za design hzo!
K Kikomelo Senior Member Joined Sep 12, 2011 Posts 106 Reaction score 57 Jan 2, 2012 #4 abubaksad said: Natafuta kazi ya ufundi umeme wa majumbani/viwandani na kwenye minala ya simu. Click to expand... Pigana mku kitaeleweka siku moja!
abubaksad said: Natafuta kazi ya ufundi umeme wa majumbani/viwandani na kwenye minala ya simu. Click to expand... Pigana mku kitaeleweka siku moja!