Natafuta kazi

Natafuta kazi

BLD98

New Member
Joined
Apr 1, 2023
Posts
3
Reaction score
5
Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu.

Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
 
Bainisha Digrii yako ni ya fani gani mkuu,
Vinginevyo watu wataupuuzia uzi wako kwa kuona unashindwa hata kuonesha utashi wako japo kwa kujieleza tu.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom