Marycigeh meru
Member
- Jun 11, 2023
- 9
- 56
Mwaka huu 😅Habari mimi ni kijana wa miaka. 24 nimemalza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato
Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier , kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo
Mawasiliano ; 0762408926
Bila mtaji ?Tumia elimu yako ya chuo kujitengenezea fursa ajira ni utumwa kataa ajiraaaaaa
Unategemea mtaji utakuja wenyewe boss ingia mtaan pambana fursa ni kujitengenezea hakuna mtu mahali anakutengenezeaBila mtaji ?
Sawa mkuuUnategemea mtaji utakuja wenyewe boss ingia mtaan pambana fursa ni kujitengenezea hakuna mtu mahali anakutengenezea