Natafuta kazi

Fatilia trainee Zanzibar utaipata wa kutokea... Gugo mahoteli yanayopatikana andika namba zao za mawasiliano then wapigie ili kujua utaratibu gani utumie ili upate training ya kozi ya miezi 3
1. Waitress
2. Housekeeping
3. Chef

Utanishkuru
 
Sawa
 
Darlin πŸ˜…πŸ€£
 
Kuna kazi ya kutengeneza sambusa.unaweza utengeneza sambusa ngapi kwa siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…