Mchawi mtaji nduguAzisha biashara
Kwani kurudi ulikotoka unaona shida gani? Hizo sababu zako binafsi zitakuponza - achana nazo rudi kapige mzigo ndg. Washauri nguli walisemaga "Usiache kazi wakati huna kazi"Habari za wakuu
Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor ya business adminstration based in accounting, nina uzoefu wa kufanya kazi benk lakin mkataba uliisha na sikua tayari kuongeza tena kwa sababu zangu binafsi, baadae nilipata kazi kweny kiwanda, mkoani kama mhasibu msaidizi lakin bahati mbaya kiwanda kilifungwa na serikali,
Kwa sasa sina kazi na nina pambana,
Naomba kwa yoyote ambae anaweza kunipa connection ya kazi mkoa wowote wadau ntamshukuru sana
Mungu awabariki
Nasoma pm
Nashukuru kwa ushauri mkuu,Kwani kurudi ulikotoka unaona shida gani? Hizo sababu zako binafsi zitakuponza - achana nazo rudi kapige mzigo ndg. Washauri nguli walisemaga "Usiache kazi wakati huna kazi"
Andika Proposal ukaombe mkopoMchawi mtaji ndugu
Basi komaa na hali yako broo, ila usikate tamaa hata kidogo kwani kwa kufanya hivyo hilo ndo litakuwa anguko lako kuu na utakuwa kwishney kabisa.Nashukuru kwa ushauri mkuu,
Ila kurud kule haiwezekani kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu