bky123
Member
- Feb 18, 2025
- 29
- 27
Habarini za muda huu, nina umri wa miaka 26, jinsia me, napatikana mwanza, nipa hapa kutafuta kazi, mimi ni clinical assistant (CA) Nina kila kitu, leseni hai na vyeti vya taaluma, nina experience ya kazi kwa muda wa miezi 8 nikiwa dispensary, natanguliza shukurani